Inicio > Términos > Suajili (SW) > ishara binafsi

ishara binafsi

Ishara ziliyofanywa katika historia ambazo haziongezi wala si sehemu ya amana ya imani, bali zinaweza kusaidia watu kuishi katika imani yao kikamilifu zaidi (67). Baadhi ya ishara hizi binafsi zimetambuliwa na mamlaka ya Kanisa, ambao hawawezi kukubali zile zinazoitwa "ishara za imani" zinazodai kupita au kusahihisha Ufunuo wa Kristo kwa Kanisa lake.

0
Agregar a Mi Glosario

Comentarios de otros usuarios

Debe iniciar sesión para participar en los debates.

Términos en las noticias

Temas relacionados

edithrono
  • 0

    Términos

  • 0

    Blosarios

  • 1

    Seguidores

Industria/ámbito: Festivales Categoría: Navidades

mshumaa

chanzo cha mwanga mfano wa utambi iliyoingizwa katika mafuta mango, kwa kawaida nta au mafuta, na kutumika katika Ukristo kumaanisha Mwanga wa Yesu ...