Inicio > Términos > Suajili (SW) > Chunyun

Chunyun

Chunyun ni neno ya Kichina inayomaanisha msimu wa kusafiri katika Mwaka Mpya wa Kichina,ambayo huwa na kiasi kikubwa cha trafiki, hasa kwa safari ya treni. Hesabu huongezeka kuwa kubwa kiasi kwamba safari kinazidi idadi ya wakazi wa China, na mwaka wa 2008 zaidi ya bilioni 2 ya safari yalifanywa katika kipindi cha siku 15 wa Mwaka Mpya wa Kichina.

0
Agregar a Mi Glosario

Comentarios de otros usuarios

Debe iniciar sesión para participar en los debates.

Términos en las noticias

Temas relacionados

ongaka yusuf walela
  • 0

    Términos

  • 1

    Blosarios

  • 0

    Seguidores

Industria/ámbito: Idioma Categoría: Gramática

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"