Inicio > Términos > Suajili (SW) > kupanga matendo

kupanga matendo

Kupangwa kwa matendo ni tabia ambayo inayoonyesha wengine kukubali ufafanuzi wa hali iya wakati huo. Wakati nyumba huwa ina mwangaza uliofifia katika thieta, kwa mfano, wanachama wa watazamaji kwa kawaida huacha kuzungumza baina yao na kugeuza mawazo yao kwa ulingo.. Hii inaashiria kukubalika na msaada wao kwa hali na matarajio yanayoambatana nayo.

0
Agregar a Mi Glosario

Comentarios de otros usuarios

Debe iniciar sesión para participar en los debates.

Términos en las noticias

Temas relacionados

edithrono
  • 0

    Términos

  • 0

    Blosarios

  • 1

    Seguidores

Industria/ámbito: Festivales Categoría: Semana Santa

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...

Contribuidor

Glosarios destacados

Basics of Photoshop

Categoría:    1 6 Términos

Digital Marketing

Categoría: Negocios   1 6 Términos