Inicio > Términos > Suajili (SW) > Kutembelewa na Malaika

Kutembelewa na Malaika

Ziara ya malaika Gabrieli kwa bikira Mariamu kumwarifu kuwa atakuwa mama ya Mwokozi. Baada ya kukubali neno la Mungu, Mariamu akawa mama ya Yesu na kwa nguvu ya Roho Mtakatifu (484, 494).

0
Agregar a Mi Glosario

Comentarios de otros usuarios

Debe iniciar sesión para participar en los debates.

Términos en las noticias

Temas relacionados

Jonah Ondieki
  • 0

    Términos

  • 0

    Blosarios

  • 1

    Seguidores

Industria/ámbito: Cultura Categoría: Cultura popular

Mpendwa Abby

Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...